Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 17, 2025 kwa michezo miwili ya ufunguzi. KMC FC wataikaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku Coastal Union wakifungua pazia lao kwa kuvaana na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa […]