Khalid Aucho Asajiliwa Singida Black Stars, Aungana Tena na Kocha Gamondi

KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26. Kiungo huyo ni moja ya wachezaji waliowahi kufundishwa na Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Anajiunga na Singida Black Stars ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye Kombe la […]