Mahakama ya Kikatiba ya Thailand imemuondoa madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Paetongtarn Shinawatra, kufuatia sakata la simu iliyovuja kati yake na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Cambodia, Hun Sen. Katika mawasiliano hayo ya simu, Paetongtarn alimwita Hun Sen “mjomba” na kisha kutoa kauli za kejeli dhidi ya kamanda wa jeshi la Thailand. Tukio hilo lilizua […]