Gavana aliyegoma kufutwa kazi amburuta Trump mahakamani

Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook amemshitaki Rais Donald Trump, baada ya kutangaza kumfuta kazi.