MWANZA; MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashangaza wanaodai kuwa chama hicho hakijafanya lolote, akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akihutubia wananchi wa Kwimba, Mwanza, Dk. Nchimbi amesema serikali ya awamu ya sita imejenga Hospitali ya Wilaya ya Kwimba, kuongeza vituo vya afya kutoka 50 … The post Dk Nchimbi: CCM imefanya makubwa first appeared on HabariLeo .