Makamu Wa Rais Afanya Mazungumzo  Na Balozi  Wa Ghana Nchini Tanzania

Asisitiza umuhimu wa  Ushirikiano zaidi wa  kiuchumi  baina  ya Mataifa  mawili Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ghana nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Damptey Bediako Asare, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, Makamu wa […]