Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameeleza jinsi chama hicho kitawafanyia wananchi wa mkoa wa Mwanza endapo watapewa ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.