Mahakama yaridhia Hassano alipwe Sh 36 Milioni

Mahakama Kuu imebariki hukumu inayolitaka Shirika la Ndege la Turkish Airlines, kumlipa Hassan Othman Hassan, aliyewahi kuwa kiongozi wa Klabu ya Soka ya Simba, fidia ya Sh36 milioni kutokana na mzigo wake kupotea aliposafiri na ndege yao.