Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), kinatarajia kuzindua kampeni zake Septemba 4, 2025 huku kikiahidi kuwa zitafanyika kwa amani na utulivu.