Tanzania kudhibiti kemikali hatari za dawa za kulevya

Tanzania imeingia makubaliano na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu zinazotumika katika utengenezaji wa dawa za kulevya ili kupunguza athari kwa vijana.