Mamlaka za kiusalama nchini Ukraine zimesema jumla ya watu 23 wamefariki dunia na 48 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la Urusi lililofanywa katika mji wa Kyiv siku ya jana.