Taasisi za Serikali zapeana nyenzo kuboresha utendaji wake
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Abdulla, amekabidhi kompyuta mpakato (laptop) 30 kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi ili ziwasaidie katika kukamilisha majukumu yao kwa wakati.