Zaidi ya nusu ya Watanzania wanapenda huduma za tiba asili

Asilimia 60 ya Watanzania wanatafuta tiba za asili, ingawa hakuna utafiti zaidi unaoeleza iwapo kundi hilo linatoka vijijini au ni wananchi waishio mijini, imeelezwa.