Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi ikishirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kaulimbiu ya nishati safi na ubunifu katika usafirishaji kuelekea katika maadhimisho ya kwanza ya Wiki ya Usafirishaji Endelevu wa Ardhini nchini.