Watu wawili wakazi wa Mkoa wa Mbeya na Morogoro wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja akiwepo Mwanamke Tecla Lumala (24) baada ya kupatikana na makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi.