Wadau wa nishati kukutana kujadili fursa na changamoto sekta ya gesi asilia
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dk James Mataragio amesema Serikali impenga kuwakutanisha wadau mbalimbali wa gesi asilia (CNG) na gesi ya mitungi (LPG) kujadili fursa na namna ya kutanzua changamoto zilizopo kwenye sekta hiyo.