Ushahidi wa Askofu Chilongani kesi ya Sepeku

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi Central Tanganyika (Dodoma), Dk Dickson Chilongani (59) ameieleza mahakama kuwa alijihisi furaha na huzuni, Askofu mkuu wa kwanza wa kanisa hilo, hayati John Sepeku alipozawadiwa shamba na nyumba.