Wadau wa elimu nchini wamechambua ilani ya uchaguzi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 inayotoa dira ya kina juu ya sekta ya elimu nchini Tanzania wakisema ina mambo mazuri, tatizo ni ahadi kutotekelezwa.