Zanzibar, Qatar zasaini makubaliano ya Sh25 trilioni

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Dola za Marekani 10 bilioni zaidi ya Sh25 trilioni na kampuni kutoka Qatar.