Maelfu Wajitokeza Kumsindikiza Dkt. Nchimbi Viwanja vya Furahisha Mwanza

Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya Wananchi na Wanachama wa Chama hicho ambao walijitokeza kwenye Viwanja vya Furahisha Vilivyopo Jijini Mwanza. Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi yupo kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya Kufanya Kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu […]