Ujio wa Meridianbet pale Kinondoni Manyanya umekuwa wa furaha sana kwa watu wenye ulemavu wa macho ambao leo hii Ijumaa wamefikiwa na kampuni ya ubashiri Tanzania na kupewa msaada wa fimbo za kutembelea maarufu kama (White Cane). Na safari hii, Meridianbet ilielekeza nguvu zake kwa kundi la watu wenye changamoto ya uoni, kwa kuwapatia msaada […]