Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Taifa Stars na JKT Tanzania, Wilson Nangu, kwa mkataba wa miaka miwili, na hivyo kumwondoa rasmi kwenye rada za watani wao wa jadi, Yanga SC. Nangu amekuwa mhimili muhimu wa safu ya ulinzi ya JKT Tanzania, jambo lililomvutia Simba SC kuisaka saini yake kwa ajili […]