ACT Wazalendo Wamvua Uanachama Monalisa Ndala Baada ya Mvutano wa Uteuzi wa Urais

Chama cha ACT Wazalendo kupitia Tawi la Mafifi, kata ya Kihesa mkoani Iringa, kimemvua rasmi uanachama wake Monalisa Joseph Ndala kwa madai ya kushindwa kutekeleza matakwa ya Katiba ya chama, hatua ambayo inahusishwa moja kwa moja na mvutano wa hivi karibuni kuhusu uteuzi wa mgombea urais wa chama hicho. Kwa mujibu wa barua rasmi yenye […]