MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameahidi kuwa serikali ijayo ya chama hicho, itaanzisha mfumo wa ufuatiliaji miradi wenye lengo la kudhibiti mianya ya rushwa na ubadhirifu ikiwa itashinda Uchaguzi Mkuu 2025. Dk Nchimbi ameyasema hayo akizungumza na wananchi katika mkutano uliofanyika Kijiji cha Ngudu, Kata ya Mwankulwe … The post Mfumo ufuatiliaji miradi kuanzishwa kudhibiti rushwa first appeared on HabariLeo .