Mpango aikaribisha Ghana kuwekeza sekta sita nchini

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka Ghana kuwekeza nchini kupitia fursa nyingi zilizopo katika sekta ya madini, kilimo, utalii, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), elimu na huduma za jamii. Dk Mpango ameeleza hayo alipozungumza na Balozi wa Ghana nchini anayemaliza muda wake, Damptey Bediako Asare, Ikulu Dar es Salaam. SOMA: Serikali … The post Mpango aikaribisha Ghana kuwekeza sekta sita nchini first appeared on HabariLeo .