Klabu zisaidie kuzalisha wachezaji bora Taifa Stars

MICHUANO ya Mabingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) kwa upande wa Tanzania ilimalizika Ijumaa baada ya Taifa Stars kufungwa bao1-0 na Morocco, hivyo kutolewa kwenye hatua ya robo fainali Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Hii ni rekodi kwa Stars kwani katika historia yake si tu kwenye michuano ya CHAN, bali … The post Klabu zisaidie kuzalisha wachezaji bora Taifa Stars first appeared on HabariLeo .