Balozi Nchimbi: Ushindi unakuja

MWANZA: MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kinatarajia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kwa kuwa wananchi wanahitaji viongozi bora wanaojali maslahi yao kama waliopo kwenye chama hicho. Nchimbi aliyasema hayo juzi jioni wakati akihutubia umati wa watu katika mkutano wa … The post Balozi Nchimbi: Ushindi unakuja first appeared on HabariLeo .