SAFARI ya Taifa Stars kwenye michuano ya Mabingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) imeishia kwenye hatua ya robo fainali baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Morocco. Robo fainali ni hatua ya juu kufikiwa na Stars katika michuano hiyo ambayo ilifanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Afrika Mashariki: Tanzania, … The post CHAN imeisha, tujipange kwa michuano mingine first appeared on HabariLeo .