KIGOMA: SHIRIKISHO la Umoja wa Wafanyabiashara Ndogondogo Wamachinga (SHIUMA) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ahadi ya kutenga kiasi cha Sh bilioni 200 kutoa mikopo kwa wafanyabiashara hao. Mwenyekiti wa Taifa wa SHIUMA, Matondo Masanja amesema hayo katika kongamano la Machinga Kanda ya Magharibi lililofanyika mkoani Kigoma likishirikisha viongozi wa shirikisho hilo kutoka mikoa ya … The post Machinga wampongeza Rais Samia bil 200/- za mikopo first appeared on HabariLeo .