Bodi ya Filamu yatambua mchango wa Wasanii

Bodi ya Filamu Tanzania kupitia Katibu Mtendaji wake, Dkt. Gervas Kasiga @chuma_kaole, imekabidhi vyeti vya kutambua mchango mkubwa wa waongozaji wa filamu nchini, wakiwemo waliobeba tamthilia maarufu kama Kombolela na Juakali, pamoja na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Rajab Amiry. Hatua hiyo imefanyika kama ishara ya kuthamini jitihada zao katika kufanikisha maonesho ya Sabasaba yaliyomalizika …