Ikiwa leo ni siku ya jukwaa la uchambuzi juu ya masuala ya maendeleo ya kiuchumi nchini unaofanyika katika eneo la makumbusho ya Kitaifa Dar es Salaam, baadhi ya Wadau wa maendeleo wamekutana kwenye mdahalo huo wa maendeleo nchini. Mkurugenzi mtendaji wa PPP – Centre Mr David Kafulila akiwa kama mmoja ya wadau walihusika katika mdahalo …