Tanesco yakamata watano kwa hujuma ya miundombinu Kahama
Waliokamatwa wanadaiwa Kutenda makosa mbalimbali ikiwemo kutumia umeme bila kupitia kwenye mita, wengine wakihamisha mita kutoka maeneo mengine na baadhi kuchezea mita zao ili kuepuka kulipa gharama halali za matumizi.