Gulamani aahidi kusimamia Ilani kwa vitendo Ilongero

SINGIDA;Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ilongero Wilaya Singida Vijijini mkoani Singida, Haideral Hussein Gulamali, ameahidi kusimamia kwa vitendo Ilani ya uchaguzi ya  chama hicho iwapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo. Amesema anatarajia kuanza rasmi kampeni zake Jumatano wiki ijayo na kwamba ni imani yake atashinda kwa kishindo pamoja na mgombea … The post Gulamani aahidi kusimamia Ilani kwa vitendo Ilongero first appeared on HabariLeo .