Mkurugenzi wa PPP – Centre Mr David Kafulila amefunguka juu ya Tanzania kutambuliwa Kimataifa kama mlango mkuu wa Uchumi Afrika, hii inatokana na sababu ya Nchi ya Tanzania kuzungukwa zaidi na mataifa ambayo hayapo upande wa bahari kwahiyo hawana budi kutumia Bandari ya Tanzania. Ikumbukwe tu Bahari ni njia kubwa zaidi inayotumika katika masuala ya …