Plastiki zilivyobadili maisha ya Mahanji aliyekatwa mguu kwa kisukari
Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya 2023/24 inaonyesha thamani ya plastiki zilizoingizwa nchini imeongezeka kwa asilimia 5.2, kutoka Sh1.678 trilioni mwaka 2022/23 hadi Sh1.765 trilioni mwaka 2023/24.