Geita kuupokea Mwenge September Mosi

GEITA: MKOA wa Geita unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru Jumatatu ya Septemba 01, 2025 katika kijiji cha Rwezera ukitokea Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella ametoa taarifa hiyo Agosti 30, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru. Shigella amesema kwa mwaka 2025 Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani … The post Geita kuupokea Mwenge September Mosi first appeared on HabariLeo .