Dk Nchimbi aanza ziara Mara

MARA; Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amewasili mkoani Mara,akianza kwa kuwasalimia wananchi wa Bunda mjini, leo Jumamosi Agosti 30,2025 mkoani humo kuendelea na kampeni zake mara baada ya kumaliza Mkoa wa Mwanza. Baada ya kuwasalimia wananchi wa Bunda mjini, Dk Nchimbi aliwanadi pia … The post Dk Nchimbi aanza ziara Mara first appeared on HabariLeo .