Dk Samia ataja mafanikio Gairo

GAIRO, Morogoro: MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi kifupi cha miaka minne na miezi kadhaa ya uongozi wake amefanya maendeleo makubwa wilayani humo. Akiwa kwenye kampeni ya kuinadi Ilani ya chama chake leo Agosti 30 wilayani Gairo, Morogoro, Rais Samia amenukuliwa “tumeshakamilisha ujenzi wa Chuo cha Ufundi … The post Dk Samia ataja mafanikio Gairo first appeared on HabariLeo .