Usiku wa kuamkia leo kampuni ya AzamTv imezindua Tamhilia mpya inayoitwa #Noma iliyo andaliwa na Producer @adamoo14 ambayo rasmi itaanza kuruka September 5 Mwaka huu kupitia channel ya sinema zetu.