Waafrika 70 wafariki dunia wakivuka maji kwenda Ulaya

Vifo hivyo vimetokea baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama kufuatia abiria kusogea upande mmoja wa mashua walipoona mwanga wa mji wa Mheijrat, karibu kilomita 80 kaskazini mwa mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott.