Zanzibar, 30 Agosti 2025 – Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo amechukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). […]