California, Marekani – Wazazi wa kijana aitwaye Adam Raine (16) wamefungua mashtaka dhidi ya kampuni ya teknolojia ya OpenAI na Mkurugenzi wake Mkuu, Sam Altman, wakidai kuwa huduma ya Akili Mnemba ya ChatGPT imesababisha kifo cha mtoto wao. Katika malalamiko yaliyowasilishwa Mahakama Kuu ya California siku ya Jumanne, Agosti 26, 2025, wazazi hao walisema kijana […]