Takukuru yabaini madudu miradi ya Sh6.6 bilioni

Katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025 taasisi hiyo ilifuatilia utekelezaji wa miradi 19 ya maendeleo yenye thamani ya Sh8 bilioni ili kuhakikisha thamani ya fedha inapatikana, kati ya hiyo, miradi 11 yenye thamani ya Sh6.6 bilioni ilibainika kuwa na upungufu.