WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati zihakikishe kuwa magereza yote nchini yanaunganishwa na mifumo ya nishati safi ifikapo mwaka 2027. Amesema hatua hiyo kwa kiasi kikubwa itasaidia kuboresha huduma kwa wafungwa, kulinda afya za watumishi na wakazi wa magereza pamoja na […]