Gairo, Morogoro – 30 Agosti 2025 – Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amepokelewa kwa shangwe na maelfu ya wananchi wa Gairo, mkoani Morogoro, akiwa njiani kuelekea Kibaigwa, Dodoma kuendelea na mikutano ya kampeni. Wananchi wa Gairo walijitokeza kwa wingi barabarani […]