Mwaka jana, Mwenge wa Uhuru ulipita mkoani Geita na kukagua miradi 65 yenye thamani ya Sh32 bilioni, ikihusisha sekta mbalimbali zikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu.