TRA yakanusha mafuta ya kupikia kuingizwa kimagendo Bandari ya Bagamoyo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mafuta ya kupikia kuingizwa nchini kupitia Bandari ya Bagamoyo bila kulipiwa kodi. TRA imesema ni kweli mafuta ya kupikia yalihusishwa katika bandari hiyo na kulipiwa kodi zote stahiki kwa mujibu wa sheria na taratibu za forodha, pamoja na kukaguliwa kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari na taasisi za udhibiti wa viwango. “Hivyo basi, haya mafuta ya kupikia hayakuingia kimagendo bali yamelipiwa kodi na yamepitia taratibu zote forodha,” imesema taarifa ya TRA. Aidha, imesema utaratibu wa ushushwaji wa mafuta majini yamefanyika […] The post TRA yakanusha mafuta ya kupikia kuingizwa kimagendo Bandari ya Bagamoyo appeared first on SwahiliTimes .