Wananchi wa Kata ya Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, leo wamejitokeza kwa wingi kufuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi, Dkt. Samia aliwasilisha sera na ahadi zinazolenga kuimarisha […]