Majaliwa ataka magereza yote kutumia nishati safi kufikia 2027

Majaliwa ameitaka sekta binafsi, kuhakikisha inaongeza ubunifu na kuweka teknolojia nafuu na salama ili wananchi waweze kupata nishati safi kwa bei nafuu.