Mahakama yaipa nafuu Chadema

Mahakama imetoa muda wa siku 14 kwa Chadema kuwasilisha maombi ya marejeo kupinga amri ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya Mei 27, 2025 ya kuzuia ruzuku na baadhi ya viongozi wa kitaifa waliopitishwa na Baraza Kuu.